sw_tn/ezk/32/11.md

470 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na Farao.

Upanga wa mfalme wa Babeli utakuja juu yako

Neno "upanga" inarejea hapa kwa jeshi. "Jeshi la mfalme wa Babeli watakushambulia"

Nitawafanya watu wako kuanguka kwa panga za mashujaa

"nitawafanya watu wako kuanguka kwa sababu ya panga za watu wenye uweza"

kila shujaa ni tishio la mataifa

"Kila shujaa ataogofya mataifa"

na kuangamiza watu wake wote

"na kuua hesabu kubwa ya watu waishio katika Misri"