sw_tn/ezk/32/09.md

525 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na Farao.

nitaitisha mioyo ya watu wengi

"nitaifanya mioyo ya watu wengi kuogopa"

katika nchi ambao huwajui

Jinsi ambavyo Yahwe atakavyoiangamiza Misri itaogofya hata watu katika nchi ambayo Farao hajawahi kuifahamu ataifahamu.

wakati nitakapoleta kuhusu uvunjifu miongoni mwa mataifa

"wakati mataifa watakaposikia kuhusu jinsi nitakavyokuangamiza"

Nitawashangaza watu wengi kuhusiana na wewe

"nitawafanya watu wengi kuogopa kwa sababu ya kile kilichotokea kwako"