sw_tn/ezk/31/15.md

729 B

Maelezo ya Jumla:

fumbo la Yahwe kuhusu mkangazi linaendelea.

Katika siku ambayo mkangazi utakapo shuka kwenda Sheoli

Neno "kwenda chini hata Sheoli" maana yake "kufa." "Katika siku ambayo mkangazi utakapokufa"

nilileta maombolezo kwenye dunia

"nimeifanya nchi kuomboleza."

Nilifunika vilindi vya maji juu yake

Neno "funika" ni kama linarejea juu ya mavazi kwa ajili ya kuomboleza. "nimefanya maji kutoka chemichemi kuomboleza kwa ajili ya mkangazi"

nikayarudisha maji ya bahari

"nilitunza maji katika bahari kutoka kumwagilia nchi"

Nilizuia maji makuu

"Nilifanya hivyo ili kusiwe na maji mengi tena"

nikaleta maombolezo hata Lebanoni kwa ajili yake.

"na nikaitengeneza Lebanoni kwa ajili ya mkangazi"