sw_tn/ezk/31/08.md

928 B

Maelezo ya Jumla:

Fumbo la Yahwe kuhusu mkangazi linaendelea

Mikangazi katika bustani ya Mungu haiwezi kuwa sawa

"Mwerezi katika bustani haukuwa mkubwa kama huo mti."

bustani ya Mungu

Hii ni njia nyingine ya kurejea bustani ya Edeni."

Hakuna miongoni mwa miti ya mivinje iliyofanana matawi yake

Yahwe alikuwa akinganisha kulikuwa na matawi mangapi.

miti ya mivinje

Miti ya mivinje ina matawi mengi sana. Yanaweza kurefuka sana.

miamori haikuweza kuwa sawa na majani yake

Ilikuwa inamwonyesha Yahwe kulinganisha matawi marefu ya mti wa mwerezi pamoja na matawi marefu ya mwamori.

mierezi

Mierezi ni mirefu, miti yenye majani na matawi imara. Inafanana na mikuyu.

ulikuwa kama huo katika uzuri wake

"ulikuwa mzuri kama mti wa mwerezi"

Nimeufanya kuwa mzuri pamoja na matawi yake

"Nimeufanya mwerezi kuwa mzurri kwa kuupatia matawi marefu."

aliuonea wivu

"alikuwa na wivu wa mti wa mkangazi"