987 B
987 B
Kisha ikawa
Hili neno limetumika hapa kuonyesha mwanzoni mwa shemu ya kwanza ya hadithi.
katika mwaka wa kumi na moja
Tazama tafsiri yake katika sura ya 26:1.
katika mwezi wa kwanza, siku ya saba ya mwezi
"katika siku ya saba ya mwezi." Hii ni siku ya kwanza ya mwezi ya kalenda ya Kiebrania. Siku ya saba ni karibu na mwanzoni mwa mwzi wa Nne katika kalenda za Magharibi.
neno la Yahwe likaja
Yahwe akanena neno lake."
Mwanadamu
Tazama tafsiri yake katika sura ya 2:1.
vunja mkono wa Farao
Hapa "mkono" unawakilisha uweza wa mfalme.
Tazama!
Neno "Tazama" Hapa linatuweka macho kwa habari inayoshangaza kwa kile kifuatacho.
Haukufungwa, au kufungwa kwa kitambaa cha bendeji
"Mkono wake haujafungwa na hauna dawa ili uweze kupona"
bendeji
kipande laini ambacho watu huweka juu ya vidonda ili wapone
hivyo basi uweze kuwa imara kushika upanga
Hapa "upanga" unawakilisha uweza wa mfalme katika vita. "hivyo mkono wake hautakuwa hodari kutumia upanga"