sw_tn/ezk/30/08.md

942 B

Maelezo ya jumla:

Haya ni maneo ya Yahwe kuhusu Misri.

Kisha wata

"Kisha watu" au "Kisha Wamisri"

watajua kwamba mimi ndimi Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 6:6.

wakati nitakapoweka moto katika Misri

Moto unarwjea kwa moto ambao mara nyingi umetokea katika vita.

wasaidizi wake wote wameangamizwa

"nawaangamiza wote wanaohusiana na Misri" au "ninawavunja wote wanaoisaidia Misri."

wajumbe watatoka mbele yangu katika meli ili kuitia hofu Kushi

Wajumbe wataleta ujumbe wa kuingamiza Misri hata Kushi, nani atakuwa tishio kwa hii habari.

kuitia hofu Kushi

"ili kuitishia Kushi, ambaye sasa anajisikia yuko salama kutoka hatari"

kutakuwa na maumivu makali miongoni mwao katika siku ya kuangamizwa Misr

"watu wa Kushi pia watakuwa na maumivu makali nitakapoiadhibu Misri"

Inakuja

"ina" inarejea kwa "maumivu makali" au "huzuni kubwa" ambayo Kushi watakuwa nayo wakati watakapoadhibiwa pembeni ya Misri.