sw_tn/ezk/29/17.md

392 B

katika mwaka wa ishirini na saba

mwaka wa saba - "katika mwaka wa ishirini na saba ya uhamisho wa Mfalme Yehoyakini"

katika siku mwezi wa kwanza

"katika siku ya kwanza ya mwezi." Huu ni mwezi wa kwanza wa kalenda ya Kiebrania. Hii siku ya kwanza ipo karibu na mwanzoni mwa Mwezi wa nne.

neno la Yahwe likaja

"Yahwe akanena neno lake."

Mwanadamu

Tazama tafsiri yake katika 2:1.