sw_tn/ezk/29/13.md

309 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Farao.

walikuwa wametawanyika

"nimewatawanya."

nitawarudisha wageni wa Misri

"kuwapatia Misri kile kilichokuwa kimepotea"

mkoa wa Pathrosi

sehemu ya kusini mwa Misri kati ya Delta na nchi ya Kushi. Hii pia inaitwa Misri juu.