sw_tn/ezk/29/06.md

496 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe kwa Farao.

wamekuwa mwanzi wa kutegemewa

Yahwe anawalinganisha watu wa Misri na Farao na mwanzi kwa sababu watu wa Israeli waliwategemea Wamisri kuwasaidia katika vita, lakini Wamisri hawakuwa imara kuwasaidia.

mwanzi

mmea ukuao karibu na maji na unafanana na majani marefu

shina

sehemu ya mwanzi ambayo ni ndefu kama fimbo nyembamba. Watu wanaweza kuzitumia kama fimbo.

watakapo kushika

Neno "wewe" linamreja Farao.