sw_tn/ezk/28/23.md

372 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Sidoni.

4Kisha hakutakuwa na mtemba uchomao na maumivu ya miba kwa ajili ya nyumba ya Israeli kutoka wale wote waliomzunguka wanaowadharau watu wake

"Hakutakuwa na watu mahali popote kuzunguka watu wa Israeli waliowajeruhi kama mitembe inayoparua na kuwaumiza kama miiba inayosababisha maumivu."