sw_tn/ezk/28/11.md

524 B

Neno la Yahwe la Yahwe

"Yahwe akanena neno lake."

inua maombolezo

"imba nyimbo ya msiba" au "imba wimbo wa kuomboleza"

Ulikuwa mfano wa ukamilifu

"Ulikuwa mkalifu."

umejaa hekima na ukamilifu wa hekima

"hekima kubwa na mwenye umbile zuri sana"

Kila jiwe la thamani lilikufunika

"ulivaa kila aina ya jiwe la thamani." Hii inaonyeshaalikuwa tajiri sana.

almasi, zabarajadi, shohamu,yaspi, yakuti samawi, zumaridi, baharamani, na dhahabwamba mfalme

Haya yote ni mawe ya thamani ya rangi tofauti tofauti.