sw_tn/ezk/28/06.md

285 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa mtawala wa Tire.

umetengeza moyo wako kama moyo wa mungu

Tazama ilivyo tafsiriwa katika 28:1, "umeufanya moyo wako kama moyo wa mungu.

uzuri wa hekima yako

"uzuri wa mji ambao ulioujenga kwa hekima yako."