sw_tn/ezk/28/04.md

249 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa mtawala wa Tire.

kwa hekima na ujuzi

"kwa hekima yako na uelewa wako"

na kujipatia

"na kujihifadhia"

hazina

mahali pa kuhifadhia vitu vya thamani na kuviweka salama