Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Tire.
"walishtuka na kuogopa kwa kile kilichotokea kwako"
Kuzomea ni njia ya kuonyesha huzuni.
"imekuwa tishio kwa watu kufikiria kuhusu wewe"