sw_tn/ezk/27/31.md

304 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Tire.

watanyoa vichwa vyao upaa

"watanyoa vichwa vyao hivyo hawatakuwa na nywele"

Ni nani aliye kama Tire

"Hakuna mji mwingine kama Tire."

ambaye sasa ameletwa kunyamazishwa

"nani ameangamizwa."

ufukwe

"juu ya nchi"