sw_tn/ezk/27/26.md

226 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia ezekieli ujumbe wake kwa Tire.

Wapiga makasia wako walikuleta kwenye bahari kuu mno

"Watu wapigao kasia wamekuleta kutoka kwenye bahari"

katikati yao

"katikati ya bahari"