sw_tn/ezk/27/24.md

488 B

Maelezo ya Jumal:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Tire.

mapambo ya joho ya nguo za urujuani pamoja na rangi

"majoho ya zambarau pamoja na rangi nyingine tofauti tofauti"

blangeti za zenye rangi tofauti tofauti, nakshiwa, na nguo zilizo sanifiwa vizuri

nguo zilizosanifiwa - "blangeti zenye rangi tofauti tofauti zilizokuwa zimebuniwa na kuvaliwa kwa hali ya juu"

katika moyo wa bahari

"katikati ya njia zote za biashara kwa ajili ya bahari ya biashara."