sw_tn/ezk/27/19.md

318 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Tiro.

mdalasini

aina ya kiungo kinachotoka kwenye gome la mti.

mchai chai

ni aina ya majani ambayo watu hutumia kama manukato na kwa ajili ya dawa.

blangeti la shogi

kipande cha nguo ambacho watu wameweka juu ya farasi chini ya shogi