sw_tn/ezk/27/16.md

327 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendela kumpatiaEzekieli ujumbe wake kwa Tire.

zambarau

"nguo ya zambarau"

lulu

vipande vya kitambaa cheupe kigumu ambacho hutoka viumbe katika bahari

keki

"chakula kizuri kilicho tengenezwa kwa unga."

rubi

mawe mekundu ambayo ni ya thamani sana

lihamu

utomvu utokao kwenye mti