sw_tn/ezk/27/12.md

379 B

Maelezo ya jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekeili ujumbe wake kwa Tire.

chuma

chuma kigumu kilichokuwa kizuri kwa kutengenezea silaha na kujengea vitu

bati

chuma kilicho bakia baada kusafisha dhahabu, fedha au chuma

risasi

ni chuma cha thamani ambacho ni kizito sana na kilaini kuliko vyuma vyote

Yavani

ni taifa katika ufunkwe wa magharibi mwa Asia ndogo.