sw_tn/ezk/27/10.md

218 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa tire.

watu wa vita

"watu waliopigana katika vita vyako" au "kutumika kama wapiganaji wako"

walionyesha uzuri wako

"walikutoa uzuri wako!"