sw_tn/ezk/27/06.md

396 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia ezekieli ujumbe wake kwa Tire.

makasia

vipande virefu vya mbao ambavyo watu hutumia kutengenezea boti kutembea

sitaha

ni sehemu za boti ambazo watu wanaweza kutembea juu yake

pembe

nyeupe, nzuri, na nyenzo ngumu ambayo imetengenezwa kutokana na meno ya wanyama.

tanga

vipande vya nguo vinavyoendesha meli wakati upepo uvumapojuu yao