sw_tn/ezk/27/04.md

174 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Tire.

mipaka yako

"Mipaka ya himaya yako"

mlingoti

ni nguzo ndefu inayoshika matanga ya meli.