sw_tn/ezk/26/07.md

318 B

Tazama!

"Ona!" "Sikia!"

namleta Nebukadreza

Mungu anamtumia Nebukadreza kuleta kuhusu mapenzi yake.

mfalme wa waflme

"mfalme mwenye nguvu zaidi"

watu wengi sana

Haya maelezo yansisitiza ukubwa wa jeshi la Nebukadneza.

Atawaua mabinti zako

Hapa neno "Yeye" linamrejea Nebukadreza ni mfano kwa jeshi.