sw_tn/ezk/25/03.md

1.2 KiB

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anamwambia Ezekieli kuwaeleza watu wa Amoni.

watu wa Amoni

uzao wa Amoni" au "wale waishio katika nchi ya Amoni

Sikia neno la Bwana Yahwe

"Sikiliza huu ujumbe kutoka kwa Bwana Yahwe"

umesema, "Anhe!

Neno "Enhe" ni sauti ambayo watu hufanya wakati wakiwa na furaha kuhusu jambo. Katika kesi hii watu walikuwa na furaha kwa sababu mambo mabaya yalitokea kwa watu wa Israeli na Yuda. "umecheka"

juu ya patakatifu pangu wakati palipokuwa pamehasiwa

"juu ya patakatifu pangu wakati adui alipo paasi." "wakati adui wa kijeshi alipohasi hekalu langu"

juu ya nchi ya Israeli wakati ilipokuwa ukiwa

"wakati nchi ya Israeli ilipokuwa katika uharibifu"

juu ya nyumba ya Yuda wakati walipoenda kwenye uhamisho

"wakati walipo watazama watu wa Yuda mbali na watumwa."

tazama!

"tazama!" au sikiliza!"

niakupatia watu katika mashariki kama milki yao

"nitalifanya jeshi kutoka nchi ambayo ni mashariki yako kuja na kukutawala"

Wataweka kambi juu yako na kuweka hema zao miongoni mwako

Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya: "Wataweka hema na kuishi katika nchi yako."

watu wa Amoni shamba kwa ajili ya mifugo

Hapa "watu wa Amoni" inarejea kwa nchi ambayo ni mali ya watuwa Amoni.