sw_tn/ezk/23/40.md

392 B

Maelezo ya Jumla:

Ezekieli ananena na Ohola na Oholiba.

tazama!

"tazama" au "sikiliza" au "kuwa makini kwa kile ninachotaka kukueleza!"

uliojiosha kwa ajili yao, uliweka rangi macho yako, na kujipamba kwa mapambo ya vito

Haya mabo yalifanywa na mwanamke mmoja kumfanya aonekane mrembo zaidi kwa mwanamume.

ubani wangu na mafuta yangu

vitu vilivyotumika katika kumwabudu Yahwe.