sw_tn/ezk/23/33.md

482 B

kikombe cha ushangao na uharibifu

"kikombe kinachosababisha mshangao na uharibifu." neno "uharibifu" na "mshangao yanashirikiana maana moja hapa na kusisitiza jinsi hukumu yake itakavyokuwa ya kutisha.

kikombe cha dada yako Samaria

Oholiba dada yake na Ohola amewakilisha Samaria. Samaria imeitwa kwa jina lake lakini bado inarejelewa kama dada. Kikombe ni ishara ya adhabu aliyoipokea.

hivyo-hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo

Tazama jinsi ya ilivyotafsiriwa katika 5:11.