Hiki kiwakilishi cha jina kinarejea kwa Yerusalemu.
Haya maneno mawili kimsingi yanamaanisha kitu kimoja na kusisitiza machafuko ambayo wana mfalme wa Yerusalemu wanayoyafanya. "Wanawaua watu"