sw_tn/ezk/22/23.md

339 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anamwambia Ezekieli kunena na Yerusalemu.

Neno la Yahwe likaja

"Yahwe akanena neno lake."

Hakuna mvua katika siku ya ghadhabu

Mvua imetumika kama mfano wa baraka ya Mungu. "Hakuna baraka katika siku ya ghadhabu"

njama

mpango wa siri wa watu wawili au zaidi kufanya kitu kiumizacho au kuvunja sheria.