sw_tn/ezk/22/20.md

336 B

Maelezo ya Jumla:

Mungu anaendelea kueleza adhabu yake ya watu kama Yerusalemu kama vitu vilivyokuwa vimeyeyushwa na kusafishwa katika tanuu.

Nitakuyeyusha

Adhabu ya Mungu inarejewa kama moto wa tanuu unaoisafisha Yerusalemu kama tanuu inayoisambaratisha vifaa isiyo na thamani kutoka vifaa vyenya thamani wakati wanapoiyeyusha.