sw_tn/ezk/22/13.md

661 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na watu wa Yerusalemu kwa kunena moja kwa moja na mji wa Yerusalemu.

nimeipiga faida mdanganyifu ... damu

Neno "piga" linarejea kwa Yahwe kuchukua uamuzi juu ya hivi vitu.

e! Moyo wako utasimama, mikono yako itakuwa hodari katika siku wakati mimi mwenyewe nitakapo kushughulikia?

"Moyo wako hautasiamama, mikono yako haitakuwa imara katika siku wakati mimi nitakapo shughulika na wewe.

nitakutawanya kati ya mataifa na kukutawanya kati ya nchi mbali mbali

Tazama tafsiri yake katika 12:14.

safisha

toa kitu ambacho hakitakiwi.

katika macho ya mataifa

"katika wazo la watu katika mataifa mengine"