sw_tn/ezk/22/06.md

546 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anazungumzia kuhusu mtawala wa Israeli katika Yerusalemu.

Tazama

"Tazama" au "Sikia" au "Vuta usikivu kwa kile ninachotaka kukwambia."

wamekuja kwako ... kati yako

Hili neno "wewe" na "yako" inarejea kwa Yerusalemu.

wamekula kwenye milima

Hapa "milima" linarejea kwa madhabahu kwa sanamu ambazo zi juu ya milima. Wakala nyama ambazo zilizokuwa zimetolewa kwa sanamu kwa ajili ya kuwa na baraka ya miungu.

Wamefanya uovu kati yako

Hii inamaanisha kwamba wanafanya mambo maovu ndani ya mji wa Yerusalemu.