314 B
314 B
Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaenedela kunena na Ezekieli kwa watu wa Yerusalemu.
Kwa kuwa umezileta karibu siku zako na kuzikaribia miaka yako ya mwisho
Maneno haya yote yanamaanisha kwamba wakati mda Yahwe atakapoiadhibu Yerusalemu u karibu.
kujaa machafuko
watu wengi katika Yerusalemu wamechanganyikiwa