sw_tn/ezk/20/39.md

209 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa nyumba ya Israeli.

nyumba ya Israeli

Tazama jinsi ya kutafsiri hii katika 3:1.

kunisikiliza

"kunitii" au "kuvuta usikivu kwangu"