sw_tn/ezk/20/23.md

436 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa wazee wa Israeli.

nimeuinua mkono wangu kuapa juu yao

Ilikuwa ni mazoea ya kawaida kuapa kiapo kwa kuinua mkono kuelekea mbinguni.

nitawatawanya kati ya maifa na kuwatawanya miongoni mwa nchi mabali mbali

Tazama tafsiri hii katika 12:14.

Macho yao yalizitamani sanamu za baba zao

"walikuwa na shauku ya kuabudu sanamu ambazo wazazi wao walizoziabudu."