sw_tn/ezk/20/01.md

347 B

Ikawa

Hili neno limetumika kuonyesha mwanzo wa sehemu ya mwanzo wa hadithi.

katika mwaka wa saba

"katika mwaka wa uhamisho wa Mfalme Yohoyakini"

siku ya kumi ya mwezi wa tano

Hii ni siku ya tano ya mwezi wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kumi ikaribu mwanzoni mwa mwazi wa Nane katika kalenda za magharibi.

mbele yangu

"mbele yangu"