sw_tn/ezk/18/21.md

203 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anazungumza juu ya mtu muovu anayebadirika na kutenda mema.

kuzingatiwa akilini

"kukumbukwa"

Ataishi kwa haki aitendayo

Ataendelea kuishi kwa sababu anatenda kwa wema"