sw_tn/ezk/17/05.md

959 B

Maelezo ya Jumla:

Huu ni mwendelelzo wa fumbo kuhusu tai.

Pia akachukua

Neno "Yeye" ni tai katika fumbo.

aridhi tayari kwa kupanda

"shamba lililokuwa tayari kwa kupandwa mbegu katika hilo." "aridhi yenye rutba" au "katika aritdhi nzuri."

Aliupanda karibu na maji mengi

"tai alipanda mbegu katika mahali ambapo palikuwa na maji mengi"

kuipanda ... kama mti mti umeao karibu na maji

Miti imeao karibu na maji hukua katika mahali ambapo kuna maji mengi. Kama tai alipanda mbegu kama mti umeao karibu na maji, ina maana kwamba aliupanda katika mahali penye maji mengi.

Kisha ukachipusha

"Kisha mbegu ikaanza kukua kwenye mmea"

mzabibu wenye kutanda

"mzabibu utandao juu ya nchi"

Matawi yake yakamwelekea yeye

Matawi ya mzabibu yakamgeukia tai.

mizizi yake ikamea juu yake

Miziz ya mzabibu ikamea chini ya tai.

Hivyo ukawa mzabibu

"Ambavyo mzabibu humea"

kuzaa matawi na kutoa matawi

"mea matawi na kusambaa mizizi yake"