sw_tn/ezk/14/22.md

386 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli kuhusu adhabu ya watu wa Israeli.

Tazama!

Neno "Tazazama!" hapa linatutahadharisha kuwa makini kwa habari inayofuata.

salia kwake ... fanya juu yake

Neno "yeye" linarejea kwa Yerusalemu.

njia zao na matendo yao

Maneno haya yote yanarejea kwa kile watu wa Israeli walichokifanya. "vile waishivyo" au "mambo wafanyayo"