sw_tn/ezk/14/19.md

374 B

kumwaga ghadhabu yangu

Kama chupa ibebavyo maji, Mungu alikuwa akirudisha hukumu. Hivyo "mwaga ghadhabu yangu" inamaanisha Mungu harudisha tena kutoka kutenda hasira yake lakini atatenda juu ya hasira yake juu ya watu wa Israeli.

kuwakatilia wote mtu na mnyama

Haya maneno yanarejea kuuawa kama tendo la hukumu ya kimungu kwa ajili ya dhambi. "ua wote mtu na mnyama"