sw_tn/ezk/14/09.md

319 B

Nitanyoosha mkono wangu juu yake

mkono wa Mungu unarejea kwa kile afanyacho. "nitashughulika juu yake"

Watabeba uovu wao wenyewe

"Watawajibika kwa ajili ya kile kibaya walichokifanya"

haitaenda mbali kutoka kunifuata mimi

Neno "mbali kutoka kunifuata" halilingani na kile Mungu anachotaka kwenda mbali naye.