sw_tn/ezk/14/07.md

468 B

achukuaye sanamu zake kwenye moyo wake

"ambaye afikiriaye sanamu zake kuwa muhimu sana"

na kuweka kwazo la uovu wake mbele ya uso wake mwenyewe

"sanamu ambayo aliyoitumia imetumika kuasi kwa kuiabudu"

nitauweka uso wangu juu ya huyo mtu

"nitakuwa juu yake" au "nitatoa umakini wangu kuwa juu yake"

kumfanya ishara na mithali

Hapa maneno "ishara" na "mithali" yanarejea kwa kitu kinachohifadhi kama kuonya wengine kuhusu matokeo mabaya ya tabia mbaya.