sw_tn/ezk/14/06.md

366 B

nyumba ya Israeli

Tazama tafsiri yake katika 3:1.

Tubuni na rudini kutoka kwenye sanamu zenu! Rudisheni nyuma nyuso zenu kutoka kwenye kachukizo yenu yote

Haya maneno yote ni njia ya kuwaeleza watu wa Israeli kuacha kuabudu sanamu.

Tubuni na rudini

Maneno "Tubu" na "geuka" kimsingi yana maana moja. Kwa pamoja waliimarisha amri ya kuacha kuabudu sanamu.