sw_tn/ezk/14/01.md

410 B

neno la Yahwe likaja

"Yahwe alinena neno lake."

wamechukua sanamu zao kwenye mioyo yao

"kufikiria sanamu zao kuwa muhimu sana"

mbele ya nyuso zao

Mungu anasema watu wamehifadhi sanamu ambapo wanaweza kuwaona. Hii inaonyesha sanamu ni muhimu kwao.

pingamizi la uovu wao

Sanamu zinarejea kama kitu dhambi zao zimewafanya kuanguka.

Je naweza kuulizwa yote na wao?

"Hawataniuliza kwa chochote."