sw_tn/ezk/13/10.md

861 B

Kwa sababu hii

Neno "hii" linarejea kwa ahadi ya Bwana kulazimisha manabii wa uongo nje ya Israeli.

wamewaongoza watu wangu

Neno "wao" linarejea kwa manabii wa uongo katika nchi ya Israeli.

wanajenga ukuta ambao wataupaka chokaa

Hapa "ukuta" unasimama kwa ajili ya amani na ulinzi ambao manabii wa uongo wamewaambia watu kwamba Yahwe aliahidi kuwapatia.

kupaka chokaa ... chokaa

"chokaa" ni kimiminika cheupe kilichochanganywa kwa kufanya sehemu ya juu ya kitu (kama vile kuta au wigo)

mvua ya kufurika ... mvua ya mawe ... upepo wa dhoruba

Haya yote ni sehemu ya dhoruba mbaya sana. Mungu anatumia dhoruba kurejea majeshi yatakayoishambulia Yerusalemu.

mvua ya mawe

vigololi vya barafu ambavyo wakati mwingine vinaanguka kutoka angani kipindi cha dhoruba ya mvua.

wengine hawakukwambia

Ezekieli anauliza hili swali kushinikiza jibu.