sw_tn/ezk/13/08.md

814 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe ananena na watu wa Israeli na kurudia maneno katika njia tofauti tofauti kueleza jinsi walivyo wakweli.

mmekuwa na maono ya uongo na kuwaambia uongo

"mmedanganya kuhusu kuwa na jumbe kutoka kwa Mungu"

Tangazo la Yahwe

Tazama tafsiri yake katika 5:11.

Mkono wangu utakuwa juu ya manabii

Neno "mkono" mara nyingi limetumika katika njia tafauti tofauti kwa uweza wa Yahwe.

mliodanganya maono na wale waliofanya unabii wa uongo

"aliye na jumbe kutoka kwa Mungu lakini anadanganya"

katika kusanyiko la watu wangu, au kuandikishwa katika kumbukumbu ya nyumba ya Israeli

"walio orodheshwa kama watu wangu" Hii ni njia mbili kueleza jambo moja."

nyumba ya Israeli

Tazama tafsiri yake katika 3:1.

mtajua yakwamba mimi ndimi Bwana Yahwe

Tazama tafsiri yake katika 6:6.