sw_tn/ezk/13/01.md

598 B

neno la Yahwe likaja

"Yahwe alinena neno lake."

mwanadamu

(mimi) Ezekieli

wanotabiri nje ya fikra zao wenyewe

kutabiri kutokana na mawazo yao wenyewe

fuata roho zao wenyewe

Hili neno limetumika kwa nabii kufanya kile wanachotaka. Neno "roho" linarejea kwa mawazo yao na neno "fuata" linarejea kwa kile wanachokifanya.

mbweha

wanyama wa porini kama mbwa au mbweha mwitu.

kama mbeha kwenye aridhi iliyoharibiwa

Kama mbweha aliyeiba chakula kutoka wanyama wengine katika jangwa, manabii huiba kutoka watu wa Israeli wakati wanapodanganya kuhusu kuwa na ujumbe kutoka kwa Mungu.