Tazama ilivotafsiriwa katika 1:17.
Inarejea kwa hekalu la Mungu.
"baki"
Hapa neno "simama" linamaanisha "kusimama" au "kusubiri."
"kwenda juu ya kerubi"