sw_tn/ezk/09/03.md

535 B

kutoka kwa kerubi ambapo ilikuwa

"kutoka juu ya mabawa manne ya viumbe"

kisingiti cha nyumba

"Nyumba" inarejea kwa hekalu la Mungu.

kitani

imara, nguo laini iliyo tengenezwa kutokana na mmea. ilivaliwa na watu sehemu ambazo ni moto.

kifaa cha uandishi

vifaa ambavyo waandishi hutumua kuandikia

waliolemewa na kushusha/kuvuta pumzi

Hizi ni sauti ambazo watu hufanya wakati wanapojisikia huzuni sana au kusikitishwa kuhusu jambo

machukizo yanafanyika kati ya mji

"mambo ya kutisha yamekuwa yakifanyika katika mji"