sw_tn/ezk/08/12.md

441 B

unaona kile ambacho wazee wa nyumba ya Israeli wanachokifanya kwenye giza

Mungu aliuliza hili swali hivyo Ezekieli angeona kile ambacho Mungu alichokuwa akimwambia kutazama.

nyumba ya Israeli

Neno "nyumba" ni mfano kwa ajili ya familia inayoishi katika nyumba, katika kesi hii Waisraeli, uzao wa Yakobo zaidi ya miaka mingi.

humba kilichojificha cha sanamu yake

"hapa chumba ambacho hakuna anayeweza kumuona akiabudu sanamu wake"